Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

1. Gnash ft Olivia O'brien - I hate you, I love you 2. Conor Maynard ft Olivia O'brien- I hate you, I love you (Acoustic Version) 3. Justin Timberlake- Can't stop the feeling 4. One...
1 Reactions
0 Replies
671 Views
Habari wana JF, Hivi karibuni kumezuka haka ka mchezo ka wasanii chipukizi kurudia nyimbo za wenzao, al maarufu kama cover. Je, hili linaashiria nini? Ni kwamba creativity imepungua maana mwanzo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Audio nimeisikia kwa mara ya kwanza na wacha tu niseme kipaji ni kipaji tu ametisha sana humu ndani ali kiba bila kumsahau M. I kiufupi ametisha sana ngoma ni nzuri kinoma Hamu yangu kubwa sasa...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari za jioni wanadarisalama na wenzetu wote mlio nje ya jiji la Makonda. Hapa town (darisalama-in Mbowez voice) mziki wa singeli umekuwa maarufu na umetokea kupendwa kwa kasi kubwa sana...
5 Reactions
24 Replies
5K Views
wakuu na wapenzi wa tamthilia habari,naomba kujua hii tamthilia ya merlin namba 6 tayari imeshatoka na kama imetoka inapatikana wapi,hiyo ni moja. Mbili,na ile tamthilai ya legend of the seeker...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyuki aina ya Dondola ana kiuno gani kiasi cha kuteka attention ya Diamond kwenye wimbo wa Zigo? Kumbe sanaa ni ujuzi wa mambo si haba! Sikutegemea Diamond angejua lolote kuhusu wadudu wa mwituni...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
"Nitunze nifunge nilidhike kuwa na wewe nisiende ndoa ya pili mama kwa malezi na mapenzi kwenda ......." nitunze nitunze nifunge nifunge niridhike kuwa nawe nisiende kwa mke wa pili ma. HUU WIMBO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau Natafuta movie zenye ujumbe na zenye maadili kama Sarafina, The Great Debaters, Invictus, Freedom writers, nk. .Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hamasa talk show ni show mpya kwa wakazi wa Kagera,na watanzania wote kwa ujumla.Lengo ni kujadili changamoto mbalimbali na kuzitafutia ufumbuzi,lengo likiwa kusukuma maendeleo. Show inakutanisha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nawezaje kusikiliza kiss fm radio na rfa online. Mimi ni mpenzi wa kiss fm na rfa. Nimejitahidi sana kutafuta application hata tunel in haina.
0 Reactions
4 Replies
934 Views
Hii ngoma ya nature bana ilinilizaga sana kipindi flani. Jinsi jamaa alivyo mkali wa chorus na kulalamika dahhhh kweli iliniuma sanaa nikifkiria huwa me nalia hata watoto wadogo wananicheka sana...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
H
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Download / Listen - Nyandu Tozzy feat Cliff Mitindo, Deddy and Gosby Download / Listen - Nyandu Tozzy feat Cliff Mitindo, Deddy and Gosby - KWATA UNIT
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii ngoma kwere sana mazee DopeFile.pk
1 Reactions
0 Replies
695 Views
Hawa watu wa futuhi hawajui maana ya komedi. Huu UJINGA ni komedi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
salam aleykum ningependa kuomba mtu anisaidie kujua wapi nitapata nyimbo za chuchu sound ile ya akina mao santiago
0 Reactions
13 Replies
10K Views
Kwa habari toka ofis ya uhamiaji na polisi mmoja pia amesema kuwa bwana huyo yupo Rumande kwa siku kadhaa kutokana na tuhuma za Utapeli. Kwa wengi wanaomfaham Mkongo huyu wamekuwa na malalamiko...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Nimekuja huku, na vina bila pozi Mvumbo ni kapuku, kama ze Bitozi Twende habari kwa vina, nina maana kuandika kwa kuchana Iwe habari za kina kinana, ama wana wanaolalama life imebana Hakuna...
4 Reactions
39 Replies
6K Views
Back
Top Bottom