Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
Haya jamani zile club maarufu hapa wilaya Kinondoni baada ya kufanya ukarabati kiingilio sasa hivi ni bure.
Ambiance na Kangaroo ambapo mara ya mwisho viingilio ilikuwa ni buku tano hadi kumi sasa wameamua kufuta baada kufanyiwa ukarabati.
Lakini pia tukumbuke kuwa club Ambiance ni club maarufu na inapedwa na vijana wengi , lakini pia enzi hizo vijana wengi toka UDSM ilikuwa ndo chimbo letu kubwa.
Lakini pia hizi club ndio club ambazo watoto wengi wa kike wazuri ambao ni classic wanapenda sana kujiachia hapa licha ya wengine ni wauza miili.