Naomba msaada wa kupata nyimbo hizi

The Infamous

JF-Expert Member
May 11, 2009
731
121
Nahitaji nyimbo za mobb deep, KRS One, Immortal technique, EPMD, Wutang, Mossdef, Talib kweli, canibus, Pac, big, tribe called quest, Guru Ganstrar, Rakim, na wengineo lkn old sch hip hop anayeweza nisaidia anicheki PM. Thanks
 
Just Google them Mzee, au ingia You tube, type "Mobb Deep's songs" etc etc.....

Au unazihitaji katika mfumo gani labda?
 
Just Google them Mzee, au ingia You tube, type "Mobb Deep's songs" etc etc.....

Au unazihitaji katika mfumo gani labda?
Niki google nazipata shida nazidown load VP, kama unazo sofycopy waweza nicheki nione nazipataje
 
Wakuu tafadhalino saaana naomba kwa mwenye wimbo uloimbwa na Linex,Barnaba na Sam wa Ukweli,atupia kati niudownload!! Jina silifaham,ila nakumbuka moja ya mistari aloimba Linex inasema hv " ni bhilimo umunyu bharasesa,hata chakula chenye chumu kinamwagwa" kwa mbele kidogo aliendelea kuimba hv " Watoto wa Mjini kiuno Feni,msingi Fally ipupa'" Naomba mwenye wimbo huo tafadhali auweke,ama anisaidie Link ya kuupata wimbo huo!!Ahsanten
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom