Kasimu Mganga: Manuwari mpatie umpendae

Abu_yazid

JF-Expert Member
Mar 28, 2014
3,435
4,244
Nyimbo mpya ya kasimu mganga tajiri wa mahaba inaitwa manuari,, binafsi nimeipenda sana waweza msikilizisha mpenz wako na akaipenda
 
huu sio uwanja wa promo za kijinga peleka facebook n.k, tunavosema great thinkers tunamaanisha
 
He hapa si kwa mahusiano na mapenzi jamani na wimbo unaimba mambo ya mahaba? au mimi ndio nimekosea?
 
Mkuu Sio Kila Kitu Unachopenda Unakiandika, Ruhusu Ubongo Wako Uchuje Mambo Vizuri Ndio Uje Nayo @ Abu Yazid
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom