Apocalypto muvi kali kwa muda wote!

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,637
Hi,
mashabiki wenzangu wa movie leo tujikumbushe stori ya muvi ya apocalypto iliyoteka hisia za wapenda muvi!
Hii ilitoka mwaka 2006 muongozaji ni mel gibson pia ni writter wa hii muvi kali ya thriller adventure!
Inavyoanza!
Jamii ya kiwindaji katika msitu wa amazon ilikuwa katika shughuli za uwimdaji kama ilivyo ada yao kila uchao ila siku hiyo ilikuwa tofauti na siku zote baada kukutana na jamii ya nyingine ya wawindaji wakiwa wamejaa hofu na kukimbia makazi yao baada ya kuvamiwa na maadui za kina zero wolf na flint sky
c763a00a589cd00d3ad176fd36f5e173.jpg
7be58d7b6b63a912e074d4a551ffec2a.jpg

Baba wa kiongozi wa kabila anamuonya mwanae jaguar paw kwamba siku zote apigane na hofu au woga ila kijana jaguar paw mlango wako wa 7 wa fahamu uko makini hivyo akaelewa **** jambo baya linakaribia katika mji wao
3488e6ff850d0bfc271e7a90d864161c.jpg

Ni kweli alichokiota jaguar paw kinatokea kweli wavamizi wanaingia katika mji wao na kuchoma moto nyumba zote na kuua baadhi kisha kuchukua mateka wengine kwa ajili ya kwenda kutoa makafara maana mji wao ulipata laana ya maradhi na ukame hvyo kutoa katoa kafara ya damu na moyo mungu angeondoa balaa hilo.
Hapo ndo utamu wa hii muvi ulivyoanza baada mwezi kupatwa wakaamini mungu amekubali kafara hivyo mateka waliobaki wakauliwe kwa njia ya michezo huko ndo utamu ulipoanza jinsi jaguar paw alivyowatoa kamasi
 
Mm nafurahi sana kumuona yule mtoto ambaye anawaambia wale mateka maneno ya kinaabii mfano anasema YOU ARE VILE WOULD YOU LIKE TO KNOW HOW YOU WILL DIE? WOE TO A MAN WHO BRINGS JAGUA PAL .....THE SACRED HOURS IS AT HAND..HE IS WITH US!!!
 
Mm nafurahi sana kumuona yule mtoto ambaye anawaambia wale mateka maneno ya kinaabii mfano anasema YOU ARE VILE WOULD YOU LIKE TO KNOW HOW YOU WILL DIE? WOE TO A MAN WHO BRINGS JAGUA PAL .....THE SACRED HOURS IS AT HAND..HE IS WITH US!!!
Jaguar paw alisema msitu na kila kilichomo vinamsujudia hivyo ikawa bad omen kwa kina zero wolf
 
Back
Top Bottom