Leo Snura ndani ya Ifakara town

Jul 6, 2016
6
0
Mambo yataanza hivi pale ndani ya uwanja wa taifa wao wamezoea kupaita ccm tangani kitachimbika kuanzia mishale ya saa nane hadi saa kumi hivi then kama yule mdada wanamwita chemical ama kweli sielewi baada ya hapo sasa watu wazima tutajirusha katika ukumbi wa jamosi social halll kwa mtonyo wa sh. 5000/=tu karibuni wote wana ifakara
 
Back
Top Bottom