donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Hiii ngoma Kali kwanzia audio mpaka kichupa, byser is really back. Inanikumbusha the era of tabasamu, Braza kiba nae kaua kwa chorus ya hatari..
Eeeh eeeh eeeh nafuraha saaanaNilipiga goti kwa Mungu, Na dua ikafikaaa
Haya maisha yangu na wewe ukaridhikaaaa
SURE WE MUULIZEApia mkuu?
Aisee ngoja ajeSURE WE MUULIZE
Umeona mkuu?Blue dogo huyu Legend basi tu
Umenena vyema kabisa mkuuNimeona sehem kama capetown fishmarket ya Tanzania, Video iko vizuri, tuwasapoti wasanii wetu wa tz, wakifanikiwa hata sis biashara zetu zitafanikiwa direct or indirectly. Big up.
You nailed it. And i expect it. Ya kawaida mno. Ila msafiri shaban. Drone master himself anajua. Hongera kwao team nzima ya kwetu studios.Ya kawaida