Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 838
Mm n mpenzi wa taarab ww je?
Mm taarab hunikosha zaidi ww je?
Mm taarab hunikosha zaidi ww je?
sipendi taarabu ,sipendi mwanamke anayependa taarabu,kuna siku nilikuwa naenda tanga gari ilikuwa inapiga taarabu kufika kibaha nikashuka nikapanda gari jengineMm n mpenzi wa taarab ww je?
Mm taarab hunikosha zaidi ww je?
sipendi taarabu ,sipendi mwanamke anayependa taarabu,kuna siku nilikuwa naenda tanga gari ilikuwa inapiga taarabu kufika kibaha nikashuka nikapanda gari jengine
Hata mimi naipenda.
Muziki wa Taarab ndo darasa langu la Kiswahili.
Nimeweza kupanua wigo wa msamiati wangu wa Kiswahili kupitia huo muziki!
Labda nimkamatie Mdada mwenye shape!! afu anajua kunengua...Mm n mpenzi wa taarab ww je?
Mm taarab hunikosha zaidi ww je?