Old school dance songs 80's-90

Kiwike

Member
Jan 7, 2017
94
100
Habari,
Jaman yoyote anaejua website nzuri ya kustream na kudownload nyimbo za club za miaka ya 80 hadi mwanzo mwa miaka ya 90 naomba anipatie...mfano wa mahadhi ya nyimbo zenyewe ni kama ain't nobody ya chaka khan au candy rain ya Soul for Real.

Naombeni msaada wenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom