Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,611
Baada ya Darasa kushusha ngoma kali inayoitwa Muziki, nilitegemea Bill Nas kuja na ngoma ambayo ingeweza hata ku-compete walau.
Labda ni mimi tu sijaikubali, lakini iko chini sana nikilinganisha na Ligi Ndogo na Chafu Pozi.
Pia nimeona kwenye video amemtumia mdada aliyekuwepo kwenye video ya Muziki.