Huu wimbo mpya wa AY unamaanisha nini?

ezedabext

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
378
118
Hivi hii nyimbo mpya ya Ay el- kapo
Ana Maanisha Nini
Au a namsifia huyu jamaa mfanyabiashara huyo
Au ndo ameamua tu kuipa jina hiyo nyimbo
Au ndo na yeye anadhilisha kwa jamii kuwa ni mfnyabiashara hiyo Haramu
 
We kweli umechelewa Wimbo una miezi zaidi ya 4 unauita wimbo mpya sijui upo mkoa gani.

Kwa kukusaidia hiyo ndio Asili ya hip hop kujisifia na kujipa majina ya watu mashuhuri.

Tupac alijiita Makaveli.
Curtis Jackson akajiita 50 Cent.
Rick Ross wenye jina lake unajua alikuwa nani?!

Hiyo ndio Hip Hop na nyimbo zenye jina la El Kapo zipo zaidi ya 100 duniani we nenda YouTube search hilo jina upate mengi ya kujifunza
 
Hivi hii nyimbo mpya ya Ay el- kapo
Ana Maanisha Nini
Au a namsifia huyu jamaa mfanyabiashara huyo
Au ndo ameamua tu kuipa jina hiyo nyimbo
Au ndo na yeye anadhilisha kwa jamii kuwa ni mfnyabiashara hiyo Haramu
_20170120_105206.JPG
 
We kweli umechelewa Wimbo una miezi zaidi ya 4 unauita wimbo mmoja sijui upo mkoa gani.

Kwa kukusaidia hiyo ndio Asili ya hip hop kujisifia na kujipa majina ya watu mashuhuri.

Tupac alijiita Makaveli.
Curtis Jackson akajiita 50 Cent.
Rick Ross wenye jina lake unajua alikuwa nani?!

Hiyo ndio Hip Hop na nyimbo zenye jina la El Kapo zipo zaidi ya 100 duniani we nenda YouTube search hilo jina upate mengi ya kujifunza
Sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom