Mwenye kuijua jina la hii movie

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,963
3,675
KUNA MOVIE Niliangaliaga kipindi kirefu kidogo ila kwa sasa nimeisahau jina na wahusika wake....nimejaribu ku google kwa kadr ya ufaham wangu lakin imeshindikana.Hapa najaribu kuku hadithia ili kama ulishawahi kuiangalia tafadhali unijuze........
MOVIE INAHUSU HABARI ZA SHULE YAANI INAHUSU WATOTO WASHULE.
MHUSIKA MKUU NI BINTI BLACK PIA ANAPATA MWALIMU AMBAYE PIA NI BLACK.....KUSOMA KWAO KUNAHUSISHA JINSI YA KUCREM MANENO MAGUMU YA KIINGEREZA NA KUWEZA KUTAMBUA HERUFU ZAKE(SPELIN).....WANAFUNZI WANASHINDANA TANGU NGAZI YA SHULE HADI HADI KITAIFA NA MWISHO KUNA MEDALI UNAPEWA.....KUMBUKUMBU ZA JINA LA MOVIE HII INAKUJA JINA LA "AKILA" LAKINI SINA HAKIKA 100%...NI MOVIE NZURI ZA KUHAMISISHA WATOTO/WANAFUNZI KUSOMA KWA BIDII IJAPO NYUMBANI SIO SHWARI..........NIPO SERIOUS NIMEIKUMBUKA BASI ROHO HAINITULII JAMANI....NIKIPATA NA LINK NITASHUKURU SANA.
 
202a5fd13149acc3fa23515e73f22066.jpg
 
Dah yan hadi rahaaaaaa sante sana mkuuuu yan hapa meno yote nje....ndiyo yenyewe.....thanks so much
 
KUNA MOVIE Niliangaliaga kipindi kirefu kidogo ila kwa sasa nimeisahau jina na wahusika wake....nimejaribu ku google kwa kadr ya ufaham wangu lakin imeshindikana.Hapa najaribu kuku hadithia ili kama ulishawahi kuiangalia tafadhali unijuze........
MOVIE INAHUSU HABARI ZA SHULE YAANI INAHUSU WATOTO WASHULE.
MHUSIKA MKUU NI BINTI BLACK PIA ANAPATA MWALIMU AMBAYE PIA NI BLACK.....KUSOMA KWAO KUNAHUSISHA JINSI YA KUCREM MANENO MAGUMU YA KIINGEREZA NA KUWEZA KUTAMBUA HERUFU ZAKE(SPELIN).....WANAFUNZI WANASHINDANA TANGU NGAZI YA SHULE HADI HADI KITAIFA NA MWISHO KUNA MEDALI UNAPEWA.....KUMBUKUMBU ZA JINA LA MOVIE HII INAKUJA JINA LA "AKILA" LAKINI SINA HAKIKA 100%...NI MOVIE NZURI ZA KUHAMISISHA WATOTO/WANAFUNZI KUSOMA KWA BIDII IJAPO NYUMBANI SIO SHWARI..........NIPO SERIOUS NIMEIKUMBUKA BASI ROHO HAINITULII JAMANI....NIKIPATA NA LINK NITASHUKURU SANA.

Aisee nashukuru kwa mada yako ndugu, nami nimeicheki aisee ni movie nzuri sana man.
 
Back
Top Bottom