johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,729
Hatimae kile tukichokuwa tunakitamani kama taifa kitokee now kimetimia ni furaha kwa taifa zima,
series inaitwa SIX ni drama ya mwaka huu ndo kwanza imetoka mwaka huu episode ya kwanza, kwa kumbukumbu yangu hii itakuwa ya pili japo ile THE A-TEAM waliongea kiswahili tu then jamaa alijitambulisha kama ni mzanzibar,
Nasuburi kuona episode ya 2 nijue ni mkoa gani wametumia japo kwa maelezo yao ni balozi ya america tanzania