N'tapata wapi original Gospel CD/DVDs

Vyamavingi

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,745
5,446
Waungwana, amani iwe nanyi! Mimi hupenda kusikiliza nyimbo za gospel za Kiingereza za Waimbajia wa Marekani kama Don Moen, Hill Song, Michael Smith, Paul Wurbug, Women of Faith, Barloche na wengineo. Lkn pia Joyous Celebration wa Afrika Kusini na wengineo wa Nigeria waliotoa album za 'Imela' na ' Promise Keeper.

Tatizo ni kuwa kila nikijitahidi kutafuta CD/DVDs hapa Tanzania, naishia kupata duplucates ambazo hazina ubora.

Wadau, naomba anayejua mahali ambapo naweza kupata Gospel CD/DVDs za kiingereza ktk miji ya,Mwanza, Dar, au Arusha.

Wakatabahu,
Vv
 
Back
Top Bottom