Family Commedy TBC 2

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
4,138
13,826
Hivi hatuwezi kuchekesha mpaka tuigize lafudhi za Lugha za asili Kimakonde, kimasai, kikurya au Lugha yoyote ndio tuoneshe tunachekesha? Au kutembea upande upande kama mlemavu? Au kuvaa vibaya vibaya?

Maana naangalia hapa hii Commedy japo sio Commedy ni Vituko kupitia TBC2.

Tuna safari ndefu ya kufanya Commedy mpaka mtu akacheka kweli kwa kile unachokionesha.

Acha Wakenya waendelee kutamalaki.
 
Back
Top Bottom