Tamthilia ya Beintehaaa

g vizy

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
899
982
Kwa wale wanaofatilia tamthilia hii kupitia azam too, binafsi nimetokea kuipenda sana tamthilia hii ya kiindi kwani ina mafunzo mengi juu ya maisha ya ndoa hasa mwanamke kuwa mvumilivu katika mahusiano aijalishi unapitiA changamoto gani

Aaliya mwanamke jasiri, mvumilivu, mcha mungu na mwenye moyo wa ukarimu kwa kila japo haijalishi umemtendea kitu gani bado ana moyo wa kusamehe na kueshimu

Zain abdulah kijana aliyetokea kumkubali Aaliya baada ya kulazimishwa na wazazi wake amuoe na kutokea kutokua na mapenzi ya dhati kati yao

Bonge moja la tamthilia dont miss it
 
Hii tamthilia ni nzuri sana, inatufunza umuhimu wa uvumilivu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom