Habarini Wadau,
Katika kipindi cha comedy ya FUTUHI kinachorushwa na Star TV, ukimuondoa Brother K yule wa mashati Oversize labda na yule Mjaluo, wengine wanaboa sanaa
Nafikiri wana juhudi sana...
Geti na Ukuta wa Chuma
Ni asubuh nyingine kama kawaida Lusajo anaamka na kujinyoosha tayari kuanza kujiandaa kuelekea kazini, anakumbuka kuwa jana alisahau kununua mkate. Amejenga mazoea ya...
Nashangaa wakati huu timu ya taifa vijana imefuzu michuano ya afcon kila mtu yupo kimya na hakuna anayeona mafanikio ya Malinzi.
Kwa hiki kilichofanyika isitoshe kuona Jamal si mtu sahihi katika...
Msanii Ommy Dimpoz ambaye anafanya vyema na wimbo wake 'Kajiandae' wiki kadhaa zilizopita alifunguka na kusema ikifika wakati ataweka wazi suala la mahusiano yake kwa jamii, na kumuweka wazi...
Wanabodi hasa wapenzi wa kipindi cha Bolingo time, muda huu naona Zuberi wa RFA yuko hewani anaweka mipini ya JB mpiana. Ameanza na 48Heures Gecoco,sasa kaweka Feux d' La Amour.
Swali je huyu...
Mashabiki wa soka nchini wamevitaka vilabu kuwafanyia vipimo vya afya awachezaji wao mara kwa mara.Vile vile wamewasihi wachezaji nao wawe na tabia ya kuangalia afya zao mara kwa mara.
Hivi...
Jamaaaani eeeh nimetafuta sana kwa zaidi ya miezi 6 sasa hapa ma game sijapata.. Nisaidienieni tafadhali kwa mwenye nalo,mwenye link ya kudownload.... Hata kwa kununua pia nipo tayari... Maana...
Nimekuwa nikimfutialia sana msanii huyu na kugundua kuwa ni miongoni mwa wasanii wenye kipaji kikubwa sana cha kuimba na kama ataendelea kufanya hivi basi hapo baadae huenda akaja kuwa miongoni...
ALI KIBA NI KUTWA MARA TATU...
Ukimfunika kukata mauno atakushinda kutunga. Ukimfunika umaarufu atakutesa kwa sauti. Ukimsumbua kuhonga media yeye atakuumiza kwa kutojisumbua na hizo media.
Ni...
Wadau kwema??
Asubuhi hii nimesikia remix ya wimbo "Utaoa Lini" wa Mwana-FA. Remix hii imefanywa na Mtangazaji Tupatupa wa Clouds TV ambapo yeye amezungumzia kuhusu timu ya Manchester United, kua...
'Rings is a sequel, not a remake, nor a reboot'. Hitting theaters on October 28 USA.
The first installment, directed by Gore Verbinski (the Pirates of the Caribbean films) and starring Naomi...
Hii kitu huwa inanikuta nikiwa na stress napenda sana kusikiliza nyimbo ambazo sizielewi zinakuwa zinamaanisha nn ila beat and other things zikikaa poa kwa kicha zinanifanya kusikiliza that song...
Hii sasa ndio habari mupyaaa ya town yule kijana wa R'nB ameachia ngoma moja Kali xn kule you tube
Kichupa kinaitwa "Phone"
Sasa naona music wetu wa bongo umekua video sasa zinaenda na wakati...
Nimeonelea wakuu ni lete huu uzi ili uwe special kwa wale wote ambao wanapenda nyimbo za kiarabu huu ni uzi wao maaluum;
Njooni hapa tupeane mawili matatu kuhusu wanamziki hawa wa middle east...
Harmo rapa nimechoka na kiki za kijinga athibishe kuwe yeye rapa mkali aache kiki go to hell Harmo rapa.
Kila mtandao ukiingia harmo rapa kafanya hivi. Afu hana hata hit song au sikuhizi na...