Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,830
Habarini Wadau,
Katika kipindi cha comedy ya FUTUHI kinachorushwa na Star TV, ukimuondoa Brother K yule wa mashati Oversize labda na yule Mjaluo, wengine wanaboa sanaa
Nafikiri wana juhudi sana ila hawajui kuingiza.
Kwa muda mfupi tu watu wanaikubali "Jambo na Vijambo" ila FUTUHI chalii.
Mnafikiri kitu gani wanapaswa wafanye ili kuboresha zaidi igizo lao.
Toa ushauri, maoni au mchango wowote wa kuwasaidia waigizaji wa FUTUHI.