Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

MIKE MARTIN 1958-1996 (1) ILIKUWA ni alfajiri yenye mawingu mazito angani. Kila mtu alijua mvua ingenyesha siku hiyo kwani dalili zote za mvua zilikuwepo angani. Waliokuwa wamelala walizidi...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
RIWAYA.............ANGAMIZO MWANDISHI.....HALFANI A. SUDY SIMU..................0757 633010 SEHEMU YA KWANZA ... Ilikuwa jumatatu tulivu sana katika mitaa ya Arusha nchini Tanzania. Siku iliyoanza...
5 Reactions
39 Replies
14K Views
Habari za Boxing day wadau wa Korean Drama Kwa muda mrefu nmekuwa mfatiliaji wa series. Lakini sijapata kuona series nzuri kama Iris. Kwa mantiki hiyo naomba kama unaifahamu series yenye Action...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Huu wimbo na video yake naona ni vitu viwili tofauti kabsa na sijui kwanini kaamua kufanya video ya hivi [emoji116][emoji116][emoji116]
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wimbo wako pendwa wa Kidogo by diamond platnumz umeingia katika list ya nyimbo 10 bora kabisa Africa kupitia mtandao mkubwa wa nyimbo kubwa Africa zinazofanya vizuri kwa sasa wa ROGMusicAfrica.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau hapa nlipo naisoma namba tangia pombe aingie madarakani kavuruga kabisa mipango mbalimbali nliyojiwekea Naombeni mwenye nyimbo ya CCM "waisome namba" na "CCM ni Ile Ile " anitumie hapa
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Hello.. Nilikutana na mzee mmoja one month ago akaniuliza, "Is it true that this country has used wasomi at the point hawahitajiki tena?" Kisa tu alikutana na graduate aliyesomea civil...
1 Reactions
1 Replies
671 Views
Kiukweli katika siku nilizo kwazika ni leo, nikajuwa maneno ya watu wazima kuwa uyaone yame maanisha mengi, hizi tabia za mimba kutamani vitu ime kuwa kwangu shida mara leo pweza, mara soda, mara...
0 Reactions
1 Replies
718 Views
John Cena amempiga AJ Styls katika 2017 Royal Rumble WWE Championship match
4 Reactions
70 Replies
9K Views
Wasanii wapotevu......huu wimbo walitegemea ungewatoa na kuwarudisha kwenye ramani? BWANA MISOSI Ft. NURUELY
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni wapi naweza pakua audio za zouk music? auidio only not video
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Heshima kwenu wanajamvi... Nakumbuka kuna kipindi serikali...
0 Reactions
2 Replies
787 Views
Yaani hii movie huwa naitizama sana, hadi sehemu nyingi nimekuwa nafahamu watazungumza neno fulani... na sijawahi ichoka kuitizama... Inafundisha vizuri ina story nzuri, Ina action za taratibu na...
2 Reactions
7 Replies
9K Views
Hii tamthilia nimetokea anza iangalia.. Mwaka huu.. Ila ni moja kati ya Tamthilia bora kwangu Kwanza Comedy za bwana Frank Gallagher ni Noma Debbie, Carly ni noma Kwa wadau ambao ni wapenz wa...
1 Reactions
4 Replies
964 Views
Je ni Nadal kupata 15th Grand Slam of his career au ni Maestro Roger Federer kuwa na 18th Grand slam? Na hii ni baada ya Novak The Djoker kutolewa Alhamisi iliyopita "Djokovic fell victim to one...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
SINGELI na KABALI huambatana kama CHIPSI na MAYAI!,......kule kwenye Show za muziki wa DANSI wanaotajwa majina kwenye nyimbo ni Mapedeshee watunza Fedha,....na wanapotajwa husimama kwa Mbwembwe na...
7 Reactions
25 Replies
5K Views
Nipo naitizama machozi yananilenga lenga sina namna maana nipo na watu ila kiukweli inasikitisha makaburu sio watu
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Huyu Makame jina lake na jinsi anavyo ongea anaonekana ni Mzanzibari. Sasa jinsi wanavyo mweka wanamuonyesha kwamba ni mtu mshamba sana na wanamtengenezea uhusika wa kumdharaulisha sana. Kwa maoni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kipindi cha miaka ya 1990-2000s mwanzoni hivi tumeshuhudia kukitokea marapa wengi wa kike waliokuwa wana uwezo mkubwa kwenye rap game ya USA. Baadhi ya marapa wa kike walioibuka miaka hiyo na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mtunzi : Fredy Ndalakasheba Msimulizi:Maestro KingKikii Mama nipe Nauli nikamfuate monica Eeh, Amekimba Zambia na Treni ya Mizogo Eeh, Kisa cha kukimbia madeni yamemzidi Doti 10 Za Khanga...
3 Reactions
5 Replies
7K Views
Back
Top Bottom