Wanabodi hasa wapenzi wa kipindi cha Bolingo time, muda huu naona Zuberi wa RFA yuko hewani anaweka mipini ya JB mpiana. Ameanza na 48Heures Gecoco,sasa kaweka Feux d' La Amour.
Swali je huyu Mtangazaji ni Mtanzania au ni Mkongo? Maana naona anajua Kilingala na Kifaransa vizuri kabisa.
Wajuz wanaweza kutupa Biography yake au kama yupo humu anaweza kutufafanulia.