Choga Cosmasy
Member
- Feb 8, 2017
- 18
- 32
Mashabiki wa soka nchini wamevitaka vilabu kuwafanyia vipimo vya afya awachezaji wao mara kwa mara.Vile vile wamewasihi wachezaji nao wawe na tabia ya kuangalia afya zao mara kwa mara.
Hivi karibuni klabu ya kagera sugar na wanamichezo kiujumla walimpoteza golikipa David Burhan ambae aliugua kwa muda mfupi tu na kuiga dunia.
Rest in peace kwa walio tangulia mbele ya haki.
Yapi maoni yako?