Filamu za muda wote na hazichoshi!!

Mto_Ngono

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
686
589
Filamu zina raha yake bana.

Zipo filamu ambazo huwezi choka kuziangalia na ni filamu zilizowahi kuangaliwa na watu wengi sana pia kupenda. Kwa upande wangu napenda sana filamu kama Sarafina (hasa zile nyimbo), Neria, No retreat na surrender, the game of death, fist of fury, Enter the dragon, My father is the hero, Mr. Bean's holiday na nyingine nyiiingi dah!!

Wewe mwanaJf wakumbuka filamu gani!!
 
Govinda, Amercan ninja, Terminator, Escape from sobibo, Charlie Champlin Volume i &ii, Mr bean zote, Scarface, The Godfather
 
Back
Top Bottom