varavara JF-Expert Member May 29, 2012 605 485 Apr 9, 2017 #1 Wadau Katika Pita Zangu Nimeusikia Wimbo Wa Inspector Haruni Ambao Amemchana Roma Mkatoliki Kumbe Ni Mfuasi Wa Gwajima, Mwenye Nao Jamani Atuwekee
Wadau Katika Pita Zangu Nimeusikia Wimbo Wa Inspector Haruni Ambao Amemchana Roma Mkatoliki Kumbe Ni Mfuasi Wa Gwajima, Mwenye Nao Jamani Atuwekee
marejesho JF-Expert Member Jan 6, 2011 6,635 3,656 Apr 9, 2017 #2 Hatutoi kiki. ....... Shishi baby. ...
Ngushi JF-Expert Member Jul 8, 2016 9,065 18,358 Apr 9, 2017 #3 Watu wengine ni wakuacha tu huyo hata kwenye muziki sijio bado yupo? Au anataka nae ajibiwe na gwajima
Watu wengine ni wakuacha tu huyo hata kwenye muziki sijio bado yupo? Au anataka nae ajibiwe na gwajima
varavara JF-Expert Member May 29, 2012 605 485 Apr 9, 2017 Thread starter #4 Hii Nchi Sasa Ni Kiki Tu
Synod JF-Expert Member Oct 10, 2016 4,125 4,149 Apr 9, 2017 #5 marejesho said: Hatutoi kiki. ....... Shishi baby. ... Click to expand...
I Inaguresheni JF-Expert Member Jul 28, 2015 294 130 Apr 12, 2017 #6 Hakuna kutoa kiki kwa mtu aliyefilisika. Kiki ni kwa wenye mtaji tu.!!!