Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Uwa namsikiza saana huyo bwana, kwa upande wangu nakiri wazi Hakuna msanii mwenye kugusa hisia kwa namna taamu na ya kipekee kwa nyimbo zilizojaa ujumbe na ushawishi wa ajabu kama Tosh. Mtu pekee naweza kumlinganisha (japo kwa upande tofauti ni 2 pac) ukimsikiliza vizuri Tosh utagundua wazi kwamba Bob Marley alifanikiwa kupata heshima tu but hakua kwa uwezo na kiwango cha Tosh.
Nina mengi juu ya huyu bwana Ila kwa Leo nimeanza na hayo machache.
Nina mengi juu ya huyu bwana Ila kwa Leo nimeanza na hayo machache.