Kwa watumiaji wa azamtv

federicofernandez

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
578
392
Fox sports, kombat sports hizo channel zipo kwenye azamtv, nauliza wanaonyeshaga UEFA champions league?? Au kuna channel yoyote ya azamtv inayoonyesha UEFA?

Anaejua anijuze
 
Fox sports, kombat sports hizo channel zipo kwenye azamtv, nauliza wanaonyeshaga UEFA champions league?? Au kuna channel yoyote ya azamtv inayoonyesha UEFA?

Anaejua anijuze

Kuna channel inaitwa KTN, hii inaonesha game 1 tu ya Jumatano.
 
Tena kweli mwenye kujua kifurushi kipi ambacho unaapata League yote ya EPL katika dstv apa Tanzania anijuze
 
Back
Top Bottom