Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,497
- 119,435
Nyonda wa Bw. James...James Jeddah akizungusha nyonga huku kibao cha yule mfalme wa miduara Afrika Mashariki na Kati Bw. Ali Tall almaaruf kama AT kikisikika.
Kwa nyonga hiyo sina shaka yoyote kabisa kuwa Bw. James...James Jeddah anafaudu kamani!
Mie hapa nimeishia kupatwa na sulika kila niiangaliapo hii video.
Oh..kama ulikuwa hujui, nyonda wa Bw. James...James Jeddah ni Bi. Kasinde au almaaruf kama Kasie.
Furahieni mkionacho na nawatakieni Alkhamis njema!