SIONI - By BERTO: Wimbo Mpya wa Production ya Siri Za Familia

Jul 14, 2008
1,820
1,032
SIONI by Berto - Official Video By Jasons Empire - Bongo Fleva Tanzania

Waigizaji wa Siri za Familia ABDUL, ETHAN na DAYA Wameshiriki kama Video Kings and Queens.

Tunaomba utusaidie KUSHARE.

Tafadhali pitia na kutoa maoni yako ili kusaidia kuboresha kazi za vijana wetu.

 
Back
Top Bottom