Remix ya wimbo wa Diamond (kimya)

Remix ya wimbo wa Diamond (kimya)

Ndo alichotakiwa mondi kuimba,sio kutuambia tukae kimya kuficha maovu,mwenzake mwenye kufikiria mbali kawawazia hadi kizazi kijacho kitakuwaje iwapo tutakaa kimya kwenye huu upuuzi wa bashite mkubwa na mdogo![emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53]
 
Huyu msaani ndo SIMBA sio kile kipaka shume, kujikomba kwa Bashite daily. SHAMELESS SOUL. Anaona sifa kutafuta kiki mpaka kwa Lucifer, eti Simbamson ! Mtoto wa Kiislamu unakaba kiki mpaka kwa shetani, mxiuuuu! Leo Simbamason kesho anajenga msikiti. Labda Nyaumason.

Dogo japo umeiba hhii biti na intellectual property ila MESSAGE YAKO TUMEIPOKEA SANA. We live in desperate times so desperate measures are inevitable.

Umemshindwa kwa Voda sasa fitina unazileta kwa style hii....
 
Back
Top Bottom