Wapenzi wa zile movie zenye casts Waarabu vs American/African

BLOOD DIAMOND

Member
Mar 24, 2017
92
122
Miongoni mwa movies ambazo nina mahaba nazo ni zile zenye mchanganyiko WA casts/washiriki waarabu na waamerica maana hapa huwa kuna feelings za hali ya juu kutokana na uhasama WA hizi pande mbili....mfano mie nazozikubali sana no

1...She is not my daughter
2...Green zone
3...lone survivor
4...The secret soldiers of Benghazi
Na nyingine moja kaigiza Leonard DiCaprio huko uarabuni akiwa kama spy.
....Hebu ongeza zako unazozikubali zaidi
 
Lone Survivor ni noma sana...Pia tafuta First Blood 3 ya Rambo aliigizia Afghanistan ni nzuri sana.
 
M huwa napenda zilizo "aktiwa" kwenye mazingira ya kiafrika ama south amerika. Uarabun sio kiviile.
 
Hii attack in darful si ndio ile jamaa aliemchoma moto mwandishi WA habari WA america?? Nzuri sana na inasikitisha sana
 
Hizi movie ulizozitaja mbona ni recent sana?
Kuna nyingine ni za muda mrefu kaka,,kama she is not my daughter kama sijakosea sana ni ya mwaka 1991 ila ukiiona leo unaweza toa chozi,,pia the secret soldier of Benghazi ni ya mwaka juzi
 
Kuna nyingine ni za muda mrefu kaka,,kama she is not my daughter kama sijakosea sana ni ya mwaka 1991 ila ukiiona leo unaweza toa chozi,,pia the secret soldier of Benghazi ni ya mwaka juzi
Basi kama uko nazo interested angalia
Homeland series itakufaa sana
 
Back
Top Bottom