Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

NI nyimbo gani ukizisikia unahisi kutokwa machozi??....nimejaribu kutengeneza list ya nyimbo 10 ambazo zinasikitisha zaidi....kama hujakubaliana na list jaribu kuweka ambazo unaona zinasikitisha...
6 Reactions
189 Replies
25K Views
Mhh, huu wimbo balaa. Vijana wamecharuka wamechokozwa sasa wanajibu kwa sanaa!
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Kazi yako ya Nisaide kushare imesimama sana bro, hongera sana. Umeonesha kwamba wewe ni mkongwe katika hip hop, huyumbi na hugeuki. Kaa hata mwaka mzima lakini ukija kurealese unafanya ile kitu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Is Kendrick Lamar the best rapper ever..!? If yes,then why..!? If no,then why and who do you think is the best rapper ever..!?
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Hebu tukumbushane nyimbo Kali zilizovuma kipind hicho Yangu ni Password
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Mambo anayotufanyia mtangazaji Wa sibuka FM, in mambo ya ajabu anaacha kutangaza Mpira anatangaza matukio. Sio lazima kama hamna uzoefu Wa kutangaza Moira sio lazima mpekeke mtangazaji ni bora...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Unawapa ngapi..?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Pasaka hii Harmorapa kuweka historia! Kushuka na Helikopta Dar Live! Mashabiki wake wa mwanzo kuingia BURE! Wengine kiingilio shs 5000 tu!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ninashangazwa sana na sanaa za kibongo,kwani hasa hawa wasanii wanafanyaje? EDITOR: Computer inayoedit pentium R ya 2002. Editor wenyewe ana muongozo wa kutia vinanda badala ya track. Vipande...
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Kwa mara ya Kwanza nimekuwa shabiki wa huyu kijana hii nyimbo aliotoa ukiwezekana ufike mbali very inspirational song....most of da time we miss the moment not a person....aslay ameweza kuongelea...
3 Reactions
4 Replies
6K Views
Ninachoweza kusema ni kuwa:-mafanikio ya kishetani daima hayana heshima kwa mwanadamu !Kwa mwanamme wa kweli mafanikio ya kweli na ya haki ni yale yanayotokana na mipango na jitihada uku...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Nikisikiliza nyimbo za kupondeana zote naona kama madaraka ya kulevya ni nyimbo ambayo iliandaliwa mda mrefu sana na kwa umakini kuliko zingine.. Nyimbo ya "Wapo" ya ney wa mitego ni nyimbo ambayo...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
BRAYAN :you have any son, RADE : two , BRAYAN :you have any son, BRAYAN:If I kill u,they will come and seek revange. RADE: they will for u sure, BRAYAN:And I will kill them too, bt you can change...
0 Reactions
1 Replies
561 Views
Basam tangu mwanzo alijipambanua kama mtu anayetaka demokrasia kwa sababu ya mazingira aliyokulia Marekani kuwa nje na mfumo wa serikali kulimfanya aone kama ni rahisi kuleta demokrasia lakini...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hakuna kitu kibaya kama kulipiza kisasi, Manake unaweza ukamfanyia mtu action leo alafu wewe ukaichukulia poa, lakini kumbe yule ulomfanyia akakuwekea kinyongo, na akaja kukumaliza kivyovyote na...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari! Napenda kujua namna ya kuuza movie script hapa Tanzania na Africa mashariki kwa ujumla. Kama kuna ma agent au namna yeyote ile itakayo wezesha mimi kuuza script. Na pia napenda kufahamu...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
SIONI by Berto - Official Video By Jasons Empire - Bongo Fleva Tanzania Waigizaji wa Siri za Familia ABDUL, ETHAN na DAYA Wameshiriki kama Video Kings and Queens. Tunaomba utusaidie KUSHARE...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…