kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,995
- 2,571
Kwa mara ya Kwanza nimekuwa shabiki wa huyu kijana hii nyimbo aliotoa ukiwezekana ufike mbali
very inspirational song....most of da time we miss the moment not a person....aslay ameweza kuongelea theme mbili
1.ameweza kuonyesha nafasi ya mama ktk maisha yetu ya kila siku hata tukiwa tumeshaoa/kuolewa e.g. ushauri busara
2. Pia ameweza kuonyesha kushukuri kwa kupata mke mwema no matter the situation..kingne ameweza kumpamba mke wake kwa maneno mazuri ambayo mtu yeyote anaweza akausikilza wimbo bila kupata utata wa maneno kama matusi and so on....kikubwa zaidi kumbe tunaweza kufanya vitu vizuri huku tukiulinda utamaduni wetu na vitu hivyo vikapendwa sana....
Pole sana kwa wote walopoteza mama zao na huenda kuna vtu ving walitamani mama zao wangeviona ila hawapo duniani....Na kwa tulojaaliwa kuwa nao tupende wazazi wetu kadri ya uwezo wetu....