dittu
Member
- Dec 2, 2016
- 75
- 53
Basam tangu mwanzo alijipambanua kama mtu anayetaka demokrasia kwa sababu ya mazingira aliyokulia Marekani kuwa nje na mfumo wa serikali kulimfanya aone kama ni rahisi kuleta demokrasia lakini mambo yalivyobadilika yeye ndo akawa rais anauona mziki wa hiyo nafasi talatibu anaanza kuelewa kwa nini jamal aliamua kuua kila aliyempinga.
Maana jimbo la mahani linataka kujitenga, qalifet wameanzisha vita wanataka kumuondowa madarakani, Mkuu wa majeshi anaanza kumlazimisha kufanya mambo anayoyataka, Basam aliwaahidi uchaguzi lakini kwa mambo yanavyokwenda ataufuta uchaguzi hapo ndo atazidisha wanaompinga naye atamua kuwa komesha.
Ila haya ni mawazo yangu jinsi nilivyoitazama hii movie si mnajuwa movies za wenzetu kuzitabili siyo jambo rahisi.
We unaonaje kwa wanaoifuatilia?