Biashara ya movie scripts Tanzania na East Africa

directa

Senior Member
Jan 27, 2017
102
150
Habari!

Napenda kujua namna ya kuuza movie script hapa Tanzania na Africa mashariki kwa ujumla. Kama kuna ma agent au namna yeyote ile itakayo wezesha mimi kuuza script.

Na pia napenda kufahamu soko lake likoje; Je, zinahitajika sana au halieleweki.

Utaratibu gani ufwatwe baada ya kukamilisha usajili wa script. ili iweze kununuliwa na ma producer.

Natumaini nitapata watu wanaoelewa hali ya soko, na pengine naweza pata AGENT wa kazi zangu hapa. karibuni sana watu wa MUNGU.
 
Back
Top Bottom