Ninachoweza kusema ni kuwa:-mafanikio ya kishetani daima hayana heshima kwa mwanadamu !Kwa mwanamme wa kweli mafanikio ya kweli na ya haki ni yale yanayotokana na mipango na jitihada uku ukimwamini Mungu! Wapo wapi akina Michael jackson, Kanumba na freemason yao?