JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,107
- 4,808
Nikisikiliza nyimbo za kupondeana zote naona kama madaraka ya kulevya ni nyimbo ambayo iliandaliwa mda mrefu sana na kwa umakini kuliko zingine.. Nyimbo ya "Wapo" ya ney wa mitego ni nyimbo ambayo umaarufu wake ni wa muda mfupi utokanao n maneno ya wakati ila kiutunzi ni ya kawaida na itapita na wakati tofauti na madaraka ya kulevya ambayo itadumu hata kipindi chake kikipita itabakia kuwa nyimbo ya burudani.