Wapenz wa Twanga Pepeta

Mustaphagentleman

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
3,953
3,020
Hebu tukumbushane nyimbo Kali zilizovuma kipind hicho Yangu ni Password
45fd86ef593b5606d39b3fc207d28551.jpg
 
SAFARI 2005 sijui nipo sahihi, naipenda sana hiyo nyimbo...twanga ya siku hizi sio ya kipindi kile....enzi ile ilikua twanga kweli kweli
 
SAFARI 2005 sijui nipo sahihi, naipenda sana hiyo nyimbo...twanga ya siku hizi sio ya kipindi kile....enzi ile ilikua twanga kweli kweli
naipenda hiyo nyimbo sijui sbbu jina la aliyeimbwa
 
Back
Top Bottom