Bosi kamganda Dangote Kaisahau Tiptop manzeseeee

Bosi kamganda Dangote Kaisahau Tiptop manzeseeee

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,262
Hakuna kitu kibaya kama kulipiza kisasi,
Manake unaweza ukamfanyia mtu action leo alafu wewe ukaichukulia poa, lakini kumbe yule ulomfanyia akakuwekea kinyongo,
na akaja kukumaliza kivyovyote na popote pale atakapopata upenyo.
Tuwe makini sana manake watu wengine NENO msamaha kwenye vichwa vyao halipo.
''Bosi kamganda dangote kaisahau tiptop Manzeseeee''
anyway
''Sina Team nasimama wima one man army''
 
3556a59789a5959a8e65bd001ed0efb0.jpg
 
Hahahahah team wasafi walitoa mapovu sana kwa huo mstari wa ngoma ya ROMA.
 
Ninja mkono mtupu haulambwi.... tip top wataikumbuka Dangote akifulia.
Kweli kabisa mkuu, na nadhani umenielewa nilichomaanisha kwenye hii post
 
Dokta mvungi ona Dah! Wakamzawadia jeneza, nipe kesi ya uchochezi nitaimba ndani ya gereza
 
Maskini. Kumbe revenge. Kweli nimeamini. He who laughs last laugh most.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom