Big up sana Juma Mchopanga a.k.a Jmo!

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
17,034
7,590
Kazi yako ya Nisaide kushare imesimama sana bro, hongera sana. Umeonesha kwamba wewe ni mkongwe katika hip hop, huyumbi na hugeuki. Kaa hata mwaka mzima lakini ukija kurealese unafanya ile kitu ambayo kila mdau katika hip hop atasalute.

Na mie huku kitaa nakusaidia kushare na majamaa kibao.
 
Nimeisikiliza hiyo ngoma aise jamaa mkali ila ungeweka na wimbo wenyewe kwa ajiri ya wale ambao hawajaisikia bado
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom