Travis Walker
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 323
- 333
Mimi ninashangazwa sana na sanaa za kibongo,kwani hasa hawa wasanii wanafanyaje?
EDITOR:
Computer inayoedit pentium R ya 2002.
Editor wenyewe ana muongozo wa kutia vinanda badala ya track.
Vipande vinakosewa sana makosa ya wazi yanaonekana.
ACTORS:
Baadhi ya wasanii wengi hawako serious na kazi zao.
Wanawake wanaona kukaa uchi ndio dili, yaani mila inapotea.
CAMERA:
Afadhali ya waandishi wa habari wako vyema kuliko movie maker Camera zenyewe mwaka 2005.
Wanachukua Camera kama wanamurika harusi au birthday.
VOICE:
Hapa ndipo tunapokwanga sana, utakuta sauti ya mtu imechanganyika na zogo la watu wengine ivi hawa hii Re-recording hawajui maana yake.
LOCATION:
location ndio kabisa, unaweza kukuta enviroment ambazo haziendani na scene hata kidogo yaani upuuzi mtupu
SCENE:
Unakuta scene ya furaha inawekwa track ya huzuni mwanzo mpaka unaisha wewe unasikia track hiyo hiyo tu mwahali mwote.
Ivi unadhani sisi tutafika siku tuingie katika soko la africa kwa uuzaji wa Film?