Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,709
- 2,373
Habari zenu wakuu.
Kuanzaia miaka kama ya 2008 kurudi nyuma, hapa tanzania tulikuwa na kituo cha tewvision ambacho kilicho nivutia sana..... nilikuwa na vipindi vizuri sna .. kwamm binafsi
1.miziki kuanzia bongo hadi mbele
2 . Movie za action, technology, and za kuihinda hasa mida ya usiku.
3. Mpira maranyingi huwa recorded.
4. Cartoon
Hamna tangazo la tigo au voda
--------------------------------------------
Ratiba zake zilikuwa kama ifuatavyo
12asubh-2sabuh, nyimbo za ispiration au dini
2asbuh-4asuh, nyimbo za kibongo enzi hizo TMK nk
4-6mchana, nyimbo za africa & mbele kwa ujumla
6-9mchana , movie kihindi
9-12, jion, Wild animal & nature
12-2usiku, Gillet world sports
2- 5usiku movie za action
6usiku--- 12 asubuh, CNN, BBC, ALJEZEERA NK
ILA VIPINDI N HIVYO HIVYO VINABADILIKA KUTOKANA NA MUDA & SIKU
Sijui kwann ibabadilika hivi hiii TV
Asanten