tecnohailali
Senior Member
- May 15, 2017
- 168
- 76
Salam wakuu. Nimeitafuta mitandao yote duniani nimeikosa. Kuna Dada tulikua wote Johannesburg alikua nayo ila nikashindwa kumuomba. Maana tulikua kwenye msiba wa mama yake. Nikaona itakua sibusara kwapale kumuambia mana alikua na mawazo ya msiba.
Nyimbo yenyewe jina siijui ila inaimbwa hivi.
Posa wangu baba Unihurumie wema wangu Leo nitajulisha Kama niwatoto fika kwetu posa utawaona utawaona. Usifike kwangu utaleta fujo nampenzi wangu wasasa. Tulitalaka na wewe bila kuleta kitu kwetu tena nakuteswa juu uniurumieeee.
The Rich Man.