Wale Wazee Wenzangu, Ben Pol katutendea haki katika wimbo wa Afro.

Wale Wazee Wenzangu, Ben Pol katutendea haki katika wimbo wa Afro.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Copy ya wimbo wa "wazee wa kaaazi" Les Wanyika uitwao Afro, Nimotoka kuusikia mda si mrefu katika moja ya radio FM za hapa mjini. Ama hakika huyu kijana katutendea haki saana.. Mungu endelea kulinda kipaji cha huyu kijana wako maana ni hazina kubwa saana katika nchi yetu.

NB: Wale Wakuu wa "weka link" mtanisamehe maana nimeusikia katka FM Radio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom