TUWAPE SIFA ZAO

More problems

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
432
257
Nimefuatilia mechi mbili za Serengeti boys huko Gabon nimevutiwa na wachezaji kadhaa

Binafsi Nimevutiwa sana na uchezaji wa Dickson job na Abdul Suleiman pia Msengi

Natamani wasibweteke kufanya mazoezi sana na wasihadaike na vilabu vya simba na yanga.

Akitokea mtu wa kuwasimamia kama wakala anayejua Mpira na asiye na tamaa itakuwa poa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom