Sapoti ya Comedy

Tofauty

Member
Sep 12, 2016
25
16
Jamani mimi naweza kuchekesha na nimetunga vichekesho vingi sana lakini sasa life linapiga photo tutapateje sapot bhana
 
Anza kupost kwenye social media mbali mbali, naamini kuna watu watavutiwa na Kazi yako, na kupitia hivo wanaweza kukusapoti mkuu...
Just uwe serious na hicho kipaji chako na uwe focused.
 
Back
Top Bottom