Naomba kufahamishwa historia ya Mr bean

Wa nchi gani Mr Ben?

Huo umahiri wa kuigiza ni level nyingine kabisa
 
Najochojua ni mtaalamu wa umeme, ana degree ya pili (masters) juu ya utalaam huo
 
Mr Bean angekuwa msukuma angekujibu:

"Vita hii ya madawa ya kulevya haijawahi kumuacha mtu salama"
 
Back
Top Bottom