holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,792
- 9,080
Ni movie gani enzi hizo ulikua hutaki kuangalia kwasababu ilikua inakutisha lakini sasa hivi unaona ni upuuzi tu.
Mimi binafsi ni ile ya Insyuka yani nilikua nikiiona sitembei pekee yangu gizani lakini sasa hivi naiona ni upuuzi mtupu.
Vipi upande wako?
Mimi binafsi ni ile ya Insyuka yani nilikua nikiiona sitembei pekee yangu gizani lakini sasa hivi naiona ni upuuzi mtupu.
Vipi upande wako?