Wimbo Mpya: Diamond Platnumz ft Tiwa Savage

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,528
2,000
Ngoja tuupe muda huu wimbo huenda nikauelewa,
ila kwasasa nadhani umeimbwa chini ya kiwango,
vilevile producer ameboronga sana kwenye masuala ya beat
Yaani Diamond kwasasa hapaswi kumtegemea Laizer kama kama producer wake wa kumpeleka kimataifa zaidi,
Yaani bora ile beat ya Harmonize(niambie) ni nzuri kuliko hii(nazungumzia upekee)
...
Anyway hayo ni maoni yangu tu,
wacha tujipe muda, Tutajua mbele kwa mbele
===============================================
 

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
12,733
2,000
Ngoja tuupe muda huu wimbo huenda nikauelewa,
ila kwasasa nadhani umeimbwa chini ya kiwango,
vilevile producer ameboronga sana kwenye masuala ya beat,
Yaani bora ile beat ya Harmonize(niambie) ni nzuri kuliko hii...
Anyway hayo ni maoni yangu tu,
wacha tujipe muda
Ni mzuri wimbo, Tiwa Savage ni mapepe sana ila kwenye muziki huwa hakosei
 

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,528
2,000
Khaaa! Mkuu umesikiliza Mara moja tu tayari ushaanza kutoa kasoro!
Duuuuu
Basi kasikilize I miss u
I miss you naijua, sio exclusive masikioni mwangu, na beat yake ni kali na ina upekee kuliko hii Fire.. Ngoja tuone videos na tuzipe muda,
huenda zikawa nzuri
 

Benny EM

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
490
500
Wimbo mkali sana,,, ila nasikia some scent rythm of waje ft diamond coco baby...btw ngoma kali
 

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,528
2,000
Ni mzuri wimbo, Tiwa Savage ni mapepe sana ila kwenye muziki huwa hakosei
Siwezi kupinga, ila mimi naongelea uwezo wa diamond pamoja na production nzima ya wimbo, producer amefanya wimbo kikawaida sana,
yani Diamond nahisi hapaswi kumtegemea Laizer kama ni producer wake wa kumfikisha kimataifa, ivyo yani
 

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,528
2,000
I miss you sio ngeni kiivyo, Fire ipo poa + promo
Video nahisi inaweza kuubost huu wimbo,
Alafu ukiusikiliza vizuri huu wimbo utaona kwamba Diamond sauti yake ameibana sana, yani sauti imetoka nyembamba(nadhani hakuimba kwa kurelax)
 

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,528
2,000
Kumbe kuna wimbo nchini Tanzania unaitwa I miss You

Ngoja nimalizie kusikiliza Wild thought na Loud pack

Afu nitafikiria kuzitafuta hizo nyimbo za chibu.
Huo I miss you ni wimbo wa kitambo sana, uliwahi kuvuja mwaka mmoja uliopita ..
 

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,536
2,000
Usisahau ku Subscribe kwenye Account yetu ya You Tube ambayo ni @Nafia Africa .com
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom