Miziki ya zamani- Funky

Miziki ya zamani- Funky

SG8

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Posts
3,955
Reaction score
2,135
Wakuu habari za jumapili
Mimi ni mpenzi sana wa nyimbo za zamani. Nyimbo zozote zile za zamani kuanzia Kwaya, Blues, Ndombolo, Reggae, Kwaito n.k
Nimefanikiwa kupata nyimbo nyingi sana isipokuwa nimeshindwa kupata nyimbo zilizokuwa zikijulikana enzi hizo kama Funky. Nakumbuka enzi hizo miaka ya 1980 mwishoni na mwanzoni mwa miaka ya 90 zilivuma sana...kati ya hizo zilizovuma zaidi ni Funky number two, number four na number six. Nimejaribu kutafuta you tube sijaziona, labda sizijui majina yake.

Naombeni msaada kwa anayeweza kujua majina ya hizo nyimbo ili niweze kuzitafuta.

Natanguliza shukrani zangu kwenu kwa kunisaidia

Weekend njema
 
Back
Top Bottom