Nisaidieni hii nyimbo jina lake

Nisaidieni hii nyimbo jina lake

Mndengereko One

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2015
Posts
345
Reaction score
249
Nyimbo yenyewe nimeona e tv ya kizungu jamaa mtu wa pombe demu wake anaolewa kanisani wanamzuia gari iliyombeba demu wake ikiondoka anaikimbiza
 
Hii nyimbo
Imekataliwa juzi bungeni

Halafu hauna magroup hata ya whattsap uomba hadi uchukue maamuzi magumu ya kuanzisha thread, kaka jf siku hizi imekuwa nzito kufunguka,mnatujazia server zetu kisa Uzi kama huu.
 
  • Thanks
Reactions: 30P
duuuuuh sasa mwisho wake vipi alimpata huyo demu ? mbona unaishia katikati mkuu
 
Umoja ni Wimbo Huu, Uwingi ni Nyimbo Hizi, hivyo ulipaswa kusema 'Nisaidieni jina la wimbo huu"
 
Nyimbo yenyewe nimeona e tv ya kizungu jamaa mtu wa pombe demu wake anaolewa kanisani wanamzuia gari iliyombeba demu wake ikiondoka anaikimbiza
Nyimbo inaitwa bambi ya msanii Jidenna[emoji106] [emoji106] [emoji817] [emoji817]
 
jidenna_bambi kati ya ngoma moja kali sana za huyu jamaa baada ya classic man
 
nashukuru naipakua muda si mrefu kuhusu kuchanganya maneno tusameane wengine tu naongea kirufiji rufiji
 
Back
Top Bottom