Wanyama: "Niliwahi kucheza NDONDO Cup ya Kenya"

Malo Robi

JF-Expert Member
May 16, 2017
271
500
Akihojiwa katika kipindi cha michezo cha Sports Extra kinachorushwa na Clouds fm Victor Wanyama Anayekipiga na timu ya Totenham Hotspots ya uingereza amesema amewahi kucheza michuano ya mitaani ya huko kwao kama ilivyo hapa Tanzania michuano hiyo maarufu kama NDONDO CUP!
Pia ameongeza asingekuwa na ratiba aliyopangiwa angetamani kukipiga hata mechi moja kwani anapenda sana kushiriki hiyo michezo. Na akaahidi mwakani kama atakuja ataweza kucheza NDONDO cup!
Maisha hayana kanuni kwa kweli!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom